School Calendar

TAREHE

VIKAO

02/07/2015  -  06/07/20015 VIKAO VYA IDARA ZA MASOMO
08/07/2015 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
10/07/2015 KIKAO CHA WALIMU WOTE CHA KUGAWANA MASOMO
13/07/2015 KUFUNGUA SHULE 2015/2016
17/07/2015 VIKAO VYA SERIKALI YA WANAFUNZI
18 – 20/07/2015 KUANZA KURIPOTI KIDATO CHA TANO
22/07/2015 KIKAO CHA S.M.T
30/7/2015 TAMASHA LA MICHEZO LA KUKARIBISHA KIDATO CHA TANO
30/07/2015 MWISHO WA KUPOKEA MAAZIMIO YA KAZI
01/08/2015 KIKAO CHA BODI YA SHULE
04/08/2015 KIKAO CHA KAMATI YA NYUMBA
07/08/2015 KIKAO CHA KUTATHMINI TABIA ZA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA
09/08/2015 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI NA WANAFUNZI KUSIKILIZA KERO ZAO
11/08/2015 KIKAO CHA WATUMISHI NA WANAFUNZI ( SKULI BARAZA)
13/08/2015 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
15/08/2015 KIKAO CHA BODI YA SHULE
17/08/2015 VIKAO VYA WALIMU WA MADARASA NA WANAFUNZI WAO
19/08/2015 KIKAO CHA KAMATI YA UZALISHAJI MALI
21/08/2015 TAFRIJA YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO
21 – 23/08/2015 MASHINDANO YA MADARASA
24/08/2015 MITIHANI YA KATI YA MUHULA WA KWANZA
11/09/2015 KUFUNGA SHULE KATI YA MUHULA WA KWANZA
11 – 19/09/2015 MAPUMZIKO YA KATI YA MUHULA WA KWANZA
16/09/2015 KIKAO CHA SMT
19/09/2015 KIKAO CHA BODI YA SHULE
20/9/2015 KUFUNGUA SHULE
22/09/2015 KUANZA USAJILI WA KIDATO CHA SITA NA KUTUMA CD BARAZA LA MITIHANI
22/09/2015 KIKAO CHA WALIMU WOTE
24/09/2015 KIKAO CHA KAMATI YA NYUMBA, ARDHI, USAFI NA MAZINGIRA
26/09/2015 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI
26/09/2015 KIKAO CHA KAMATI YA UCHAGUZI
26/09/2015 KUTOA RATIBA YA UCHAGUZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI
28/09/2015 WAGOMBEA KUWANIA KUCHUKUA FOMU NA KURUDISHA
02/10/2015 KIKAO CHA KUCHUJA MAJINA YA WAGOMBEA NA KUTANGAZWA
02/10/2015 KAMPENI ZA UCHAGUZI
05/10/2015 UCHAGUZI NA KUTANGAZWA WASHINDI
05/10/2015 KUAPISHWA VIONGOZI WAPYA
08/10/2015  KIKAO CHA KAMATI YA UZALISHAJI MALI
09/10/2015 KUSOMA MAPATO NA MATUMIZI YA SHULE
12/10/2015 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
14/10/2015 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE
16/10/2015 KIKAO CHA SMT.
02/11/2015 MITIHANI YA UTIMILIFU KIDATO CHA SITA
23/11/2015 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA
04/12/2015 KUFUNGUA SHULE
04/12 – 11/01/2016 MAPUMZIKO YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA
01/01/2016 VIKAO VYA IDARA ZA MASOMO
08/01/2016 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
09/01/2016 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE
10/01/2016 KUFUNGA SHULE MUHULA WA PILI
13/01/2016 KIKAKO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI
20 – 21 /01/2016 VIKAO VYA MABWENI NA MADARASA
29/01/2016 MWISHO WA KUPOKEA MAAZIMIO  YA KAZI
06/02/2016 TAMASHA LA MICHEZO NA UTAMADUNI
10/02/2016 KIKAO CHA SKULI BARAZA
12/02/2016 VIKAO VYA IDARA ZA MASOMO
15/02/2016 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
19/02/2016 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE
22/02/2016 KIKAO CHA SMT
24/02/2016 KIKAO CHA MAMA MALEZI
05/03/2016 TAMASHA LA MICHEZO NA UTAMADUNI
14/03 – 16/03/2016 MASHINDANO YA MADARASA
17/03/2016 KIKAO CHA BODI YA SHULE
22/03/2016 MITIHANI YA KATI YA MUHULA WA PILI
01/04/2016 MITIHANI YA KUJIANDAA NA MTIHANI WA TAIFA ( PRE – NATIONAL EXAM )
10/04/2016 KUFUNGUA SHULE KATI YA MUHULA WA PILI
15/04/2016 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI
02/05/2016 MITIHANI YA TAIFA KIDATO CHA SITA
06/05/2016 KIKAO CHA WALIMU CHA KUTATHMINI TABIA ZA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO
01/06 – 07/06/2016 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA PILI
08/06/2016 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA MWISHO WA MWAKA
08/06 – 11/06/2016 MAKING NA KUTUMA MATOKEO
10/06/2016 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE CHA KUTATHMINI MWAKA 2015 /2016 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2016/2017

Contact Us