School Calendar_2018_2019

                                                      JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

                                                                       OFISI YA RAIS

                                              TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

                                                HALMASHAURI YA MANISPAA YA MPANDA

                                            SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MPANDA

                                                         KALENDA YA MWAKA 2018/2019

TAREHE TUKIO
25/06/2018 VIKAO VYA IDARA ZA MASOMO
27/06/2018 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
29/06/2018 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE .
02/07/2018 KUFUNGUA SHULE, MUHULA WA I 2018/2019
03/07/2018 KIKAO CHA S.M.T
10/07/2018 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI
16/07/2018 KUANZA KURIPOTI KIDATO CHA TANO
27/07/2018 MWISHO WA KUPOKEA MAAZIMIO YA KAZI
04/08/2018 TAMASHA LA MICHEZO NA UTAMADUNI, KUKARIBISHA FORM FIVE.
10/08/2018 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI NA WANAFUNZI WOTE
17/08/2018 KUTATHIMINI TABIA ZA KIDATO CHA SITA
20/08/2018 KIKAO CHA S.M.T
23/08/2018 KIKAO CHA BODI YA SHULE
29/08/2018 KIKAO CHA KAMATI YA NYUMBA
29/08/2018 KIKAO CHA WALIMU WA MALEZI NA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO
03/09/2018 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA KATI YA MUHULA KIDATO CHA SITA
03/09/2018 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI NA WANAFUNZI WOTE
05/09/2018 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
07/09/2018 KIKAO CHA KAMATI YA UZALISHAJI MALI
10/09/2018 MITIHANI YA KATI YA MUHULA KIDATO CHA TANO
14/09/2018 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA KATI YA MUHULA KIDATO CHA TANO
17/09/2018 KUFUNGUA SHULE KIDATO CHA SITA
18/09/2018 KUANZA USAJILI WA KIDATO CHA SITA
19/09/2018 KIKAO CHA KAMATI YA NYUMBA, ARDHI NA MAZINGIRA
20/09/2018 KIKAO CHA WALIMU WOTE
21/09/2018 KIKAO CHA KAMATI YA UCHAGUZI
24/09/2018 KUTOA RATIBA YA UCHAGUZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI
24/09/2018 KUFUNGUA SHULE KIDATO CHA TANO
24/09/2018 KIKAO CHA KAMATI YA UZALISHAJI MALI
04/10/2018 KUSOMWA MAPATO NA MATUMIZI YA SHULE
25/09/2018 KIKAO CHA S.M.T
25/09 – 27/09/2018 WAGOMBEA KUCHUKUA FORM
28/09/2018 KURUDISHA FORM
29/09/2018 USAILI NA KUTANGAZA WAGOMBEA
01/10/2018 UCHAGUZI NA KUTANGAZWA WASHINDI NA KUAPISHWA
05/10/2018 TAFRIJA YA KUWAKARIBISHA FORM FIVE
08/10/2018 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
15/10/2018 MITIHANI YA PRE-MOCK FORM SIX
22/10/2018 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE
23/10/2018 KUREJESHA CD ZA USAJILI NECTA
29/10/2018 MITIHANI YA MOCK MKOA
09/11/2018 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE
12/11/2018 KIKAO CHA S.M.T
15/11/2018 KIKAO CHA BODI YA SHULE
17/11/2018 TAMASHA LA MICHEZO NA UTAMADUNI
24/11 – 30/11/2018 MASHINDANO YA MADARASA (MICHEZO)
30/11 – 07/12/2018 MITIHANI YA KATI YA MUHULA FORM SIX
07/12/2018 KUFUNGA SHULE, MWISHO WA MWAKA KIDATO CHA SITA
10/12 – 14/12/2018 MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA TANO
14/12/2018 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA TANO
14/12/2018 KIKAO CHA WALIMU WOTE
14/12/2018 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE NA WANAFUNZI (SCHOOL BARAZA)
14/12/2018 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA MWISHO WA MUHULA WA KWANZA KIDATO CHA TANO
31/12/2018 SHEREHE YA KUAGA NA KUKARIBISHA  MWAKA 2019
02/01 – 03/01/2019 VIKAO VYA IDARA ZA MASOMO
04/01/2019 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
07/01/2019 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE
07/01/2019 KUFUNGUA SHULE WOTE
18/01/2019 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI
21/01 – 08/02/2019 MITIHANI YA MOCK MKOA WA KATAVI
31/01/2019 MWISHO WA KUPOKEA MAAZIMIO YA KAZI KWA WAALIMU
01/02 – 06/02/2019 MASHINDANO YA MADARASA KUTAFUTA WACHEZAJI KWA AJILI YA MASHINDANO YA UMISETA.
19/02/2019 KIKAO CHA KAMATI YA TAALUMA
21/02/ 2019 KIKAO CHA S.M.T
27/02/2019 KIKAO CHA BODI YA SHULE
09/03/ 2019 TAMASHA LA MICHEZO NA UTAMADUNI
11/03 – 22/03/2019 MITIHANI YA PRE -NATIONAL FORM SIX
25/03 – 29/03/2019 MITIHANI YA KATI YA MUHULA WA PILI KIDATO CHA TANO
29/03/2019 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA NUSU YA MUHULA WA PILI.
30/03 – 14/04/2019 MAPUMZIKO YA KATI YA MUHULA
06/04 – 21/04/2019 SHEREHE ZA KUWAAGA KIDATO CHA SITA VIKUNDI MBALIMBALI VYA DINI.

SHEREHE ZA ASSA TAREHE 07/4/2019.

SHEREHE ZA UKWATA TAREHE 13/4/2019.

SHEREHE ZA TAMSYA TAREHE 14/4/2019.

SHEREHE ZA CASFETA TAREHE 20/4/2019.

SHEREHE ZA TYCS TAREHE 21/4/2019.

14/04/2019 KUFUNGUA SHULE
15/04/2019 KIKAO CHA S.M.T
26/04/2019 SHEREHE YA KUWAAGA KIDATO CHA SITA
28/04/2019 KIKAO CHA SERIKALI YA WANAFUNZI
03/05/2019 KIKAO CHA WALIMU WOTE
06/05/2019 KUANZA MITIHANI YA UTIMILIFU  KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2019.
21/05/2019 KIKAO CHA BODI YA SHULE
13/05 – 24/5/2019 MITHANI YA KUFUNGA MHULA WA TANO KIDATO CHA TANO.
24/5 – 29/5/2019 KUSAHIHISHA MITIHANI
31/05/2019 KUFUNGA SHULE KWA MAPUMZIKO YA MWISHO WA MWAKA 2018/2019.
31/05/2019 KIKAO CHA WATUMISHI WOTE CHA KUTATHIMINI MWAKA 2017/2018 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2018/2019.

Contact Us